Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Dk. Kagabo aelezea hali za majeruhi Inonga, Kramo

19 Aug 2023

Inonga amepata majeraha ya bega katika mchezo wa nusu fainali Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Fountain Gate wakati Kramo ameumia goti mazoezini.

Tazama video hii hadi mwisho kujua hali ya kikosi na lini nyota hao watarejea kikosini.

Advertisement
Back to homepage
Share this story