Simba Sports Club
News

VIDEO : Dilunga Simba haijawahi kuniacha

14 Mar 2023

Dilunga ambaye leo ameanza mazoezi pamoja na wenzake amesema Uongozi umelipia matibabu yake yaliyofanyika nchini Afrika Kusini na hata baada ya kurejea bado aliendelea kupata mahitaji yake muhimu na familia.

Akiongea na Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally, Dilunga amesema "kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia afya njema mpaka leo kurejea.

Advertisement
Back to homepage
Share this story