Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: De Reuck ataja sababu ya kuchukua jukumu la kupiga penati

23 Feb 2026

De Reuck amesema Clatous Chama alimfuata na kumtia moyo kuwa anaweza na kumkabidhi mpira na alifanikiwa kufunga.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho De Reuck ameweka wazi lengo lake ni kuhakikisha anaisaidia timu kupata matokeo chanya.

Advertisement
Back to homepage
Share this story