Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: De Reuck afurahishwa na kiwango cha timu

2 Oct 2025

De Reuck amesema jambo la kufurahisha ni kufunga na kuisaidia timu kupata pointi tatu muhimu huku tukiwa hatujaruhusu bao lolote.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho, De Reuck amezungumzia pia mchezo unaofuata wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Advertisement
Back to homepage
Share this story