De Reuck amesema ni jambo la kufurahisha ni kuisadia timu kupata matokeo chanya nakupata alama tatu kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho De Reuck amezungumzia mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United siku ya Jumapili.