Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Daktari asema Inonga kurudi uwanjani baada ya wiki moja na nusu

25 Sep 2023

Dk. Kagabo amesema jeraha la Inonga linaendelea vizuri na ndani ya kipindi hicho atatolewa nyuzi alizoshonwa halafu itaangaliwa kama ataruhusiwa kujiunga na wenzake.

Kuhusu Kiungo mshambuliaji Aubin Kramo, Dk. Kagabo amesema nae matibabu yake yanaendelea vizuri na hivi karibuni atarejea dimbani.

Advertisement

Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Dk. Kagabo amezungumzia pia mlinzi, Che Fondoh Malone ambaye alipata ajali usiku wa kuamkia jana.

Back to homepage
Share this story