Ahmed amesema tulistahili kupata alama zote tatu kwenye mchezo wa leo hata mchezaji bora alipaswa kutoka kwetu kutokana na jinsi wachezaji walivyocheza.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia jinsi mchezo mzima ulivyokuwa pamoja na ratiba nzima ya timu inayofuata.