Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: CRDB yaendelea kudhamini Simba Day

2 Aug 2024

Mtendaji Mkuu wa Klabu Imani Kajula amesema tumekuwa na ushirikiano mkubwa na CRDB ndio maana kwa mara nyingine wameendelea kuwa sehemu ya Wadhamini wetu.

Tazama video hii hadi mwisho, Kajula amezungumzia pia kupatikana kwa jezi za msimu huu katika Ofisi za CRDB.

Advertisement
Back to homepage
Share this story