CPA Masoud amesema katika mchezo wetu wa Jumatano dhidi ya Al Masry kutakuwa na waangalizi kutoka Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) hivyo haitapendeza kama tutapata dosari huku tukiwa ndio timu yenye mashabiki bora tunaotambuliwa.
Tazama video hii hadi mwisho CPA Masoud amefunguka kuhusu majukumu ya viongozi waliyopewa kuhakikisha timu inavuka na kwenda nusu fainali.