CPA Masoud amesema lakini amewaomba mashabiki kutojihusisha na vitendo vya vurugu uwanjani ili kadhia iliyotokea kwenye mchezo dhidi ya CS Sfaxien isitokee tena.
Tazama video hii hadi mwisho CPA Masoud amezungumzia maendeleo ya timu zote tatu ya Wanaume, Wanawake na vijana.