Chilunda amesema hayo baada ya kufunga bao kali dakika ya 85 kwa shuti la nje ya 18 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Cosmopolitan uliofanyika leo asubuhi katika Uwanja wa Mo Simba Arena.
Chilunda ameongeza kuwa amejipanga vizuri kuhakikisha kila anapopata nafasi anafanya vizuri kuisaidia timu kupata ushindi.
Advertisement
Tazama mahojiano haya mpaka mwisho, Chilunda amefunga pia kuhusu maandalizi ya mchezo wetu wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos ya Zambia.