Che Malone amesema kipindi hicho alikuwa anacheza mpira kwa kujiiba hadi alipofika Sekondari na baadae Chuo Kikuu ndipo alianza kutandaza soka hadharani.
Tazama hadi mwisho mahojiano haya ili ujue mambo mengi kuhusu 'Kitasa' huyu Mcameroon na mipango yake ya baadae kwenye kikosi chetu.