Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Che Malone asema tutarudi katika hali yetu ya ushindi

27 Nov 2023

Che Malone amesema anafahamu mashabiki wanahasira kutokana na kutumia pesa zao kwenda uwanjani kuisapoti timu lakini kama ilivyo kauli mbiu yetu ya 'Nguvu Moja' tunatakiwa kuendelea kushikamama.

Tazama video hii hadi mwisho, Che Malone amewaomba radhi mashabiki kwa hiki kinachoendelea.

Advertisement
Back to homepage
Share this story