Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Che Malone amesema mpira ni dakika 90

11 Jan 2024

Che Malone amesema ilikuwa mechi ngumu lakini hakukata tamaa hadi mwisho hatimaye tukavuka kwa mikwaju ya penati.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Che Malone ametupa ubingwa wa Mapinduzi kabla ya fainali kupigwa Jumamosi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story