Baada ya ajali ile ilidhaniwa huenda mlinzi huyo raia wa Cameroon ameumia sana lakini hakupata madhara yoyote na leo amefanya mazoezi kamili pamoja na wenzie.
Tazama video hii mpaka mwisho ili kujionea jinsi Che Malone alivyokuwa akiwajibika kama kawaida.