Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Chasambi atoboa siri ya ushindi dhidi ya Dodoma Jiji

12 Apr 2026

Chasambi amesema kipindi cha kwanza tulishindwa kupata mabao kwakuwa tulishindwa kuwafungua Dodoma ila walivyopata maelekezo kutokana kwa kocha ndipo ushindi huo ulipopatikana.

Tazama video hii mpaka mwisho Chasambi amezungumzia upendo wa mashabiki kwa wachezaji wao.

Advertisement
Back to homepage
Share this story