Chasambi amesema katika mchezo wa kwanza alitoa 'asisti' tatu na leo ametoa moja huku akiwa amehusika kwenye mabao manne moja ya kitu anachokikumbuka msimu huu.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Chasambi amewaomba mashabiki kuendelea na mshikamano.