Chasambi amesema kipindi Bravo walivyorudi walijiona wana nafasi ya kurejesha bao hilo kitu ambacho kiliwaongezea morali lakini jambo la kushukuru ni kwamba tumepata pointi tatu.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Chasambi amezungumzia pia kuhusu siri ya kiwango chake kuimarika siku hadi siku.