Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Chasambi asimulia alichoambiwa na makocha baada ya kupata nafasi

22 Oct 2024

Ladaki amesema walimu wanamuamini na walimuambia hivyo afanye kama anavyofanyaga mazoezini na ndicho alichokifanya kwenye mchezo wa leo.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Chasambi amezungumzia pia kuhusu nafasi yake ndani ya timu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story