Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Chasambi afunguka Siri ya kiwango chake

21 Dec 2024

Chasambi ambaye katika ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya Kagera Sugar ametoa assisti tatu amesema amefurahi kwa yeye kuchangia moja kwa moja katika ushindi wa timu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho pia mshambuliaji Steven Mukwala nae amezungumzia kiwango cha Chasambi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story