Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Chamou atoa ahadi kwa mashabiki michuano ya Mapinduzi

4 Jan 2026

Chamou amesema itakuwa michuano migumu kutokana na timu zinazoshiriki lakini tumejipanga na tupo tayari kupambana mpaka mwisho ili kufikia malengo tuliyojiwekea.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Chamou ameitoa tuzo yake ya mchezaji bora wa mchezo dhidi ya Mwembe Makumbi kwa wachezaji wenzake.

Advertisement
Back to homepage
Share this story