Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Chama aweka wazi furaha yake baada ya ushindi

11 Mar 2026

Chama amesema wachezaji wote wamejitoa kuanzia mwanzo mpaka mwisho kuhakikisha timu inapata ushindi kwenye mchezo mgumu wa ugenini.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Chama ametoa shukrani zake za dhati kwa mashabiki.

Advertisement
Back to homepage
Share this story