Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Chama asema ni zamu yetu kuwatoa Al Ahly

15 Mar 2024

Chama amesema Al Ahly ni timu kubwa na bora na mara nyingi wanafika fainali au kuchukua ubingwa nasi msimu huu tujipange kuhakikisha tunawafunga na kufuzu nusu fainali.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Chama pia ametoa ujumbe kwenda kwa mashabiki.

Advertisement
Back to homepage
Share this story