Chama asema anafahamu mashabiki hawana furaha na timu kutokana na kushindwa kupata ushindi katika mechi zetu tatu zilizopita na wao kama wachezaji pia hawafurahi kinachoendelea ndio maana wanapambana kuhakikisha wanarejesha furaha.
Tazama video hii hadi mwisho Chama ameweka wazi kuwa hakuna mgomo wala mgogoro baina ya wachezaji na uongozi na kinachotokea uwanjani ni sehemu ya mpira hivyo mashabiki wanapaswa kuelewa hilo na kuendelea kuisapoti timu.