Chama amesema amewakuta wachezaji wapo kwenye hali nzuri wakiwa kamili kwa ajili ya mchezo huo ambao anaamini utakuwa mgumu kutokana na ubora wa wapinzani Dynamos.
Fuatilia mahojiano haya mpaka mwisho ili kujua mengi zaidi aliyosema Chama kuhusu Power Dynamos ambayo amewahi kuichezea.