Chama amesema mtoto wake amezaliwa Februari 12 na alitamani kufunga katika mchezo dhidi ya Geita Gold lakini bahati haikuwa kwake lakini leo ametupia na amemzawadia mwanae.
Tazama Mahojiano haya hadi mwisho Chama amezungumzia pia kuhusu mchezo unaofuata dhidi ya Mtibwa Sugar.