Chama amesema umefika wakati Viongozi, wachezaji, wanachama na mashabiki kuwa pamoja ili kuhakikisha msimu ujao tunafanya vizuri na kurejesha mataji.
Chama pia amewashukuru mashabiki wetu kwa kujitokeza kwa wingi katika kila mchezo kuwapa hamasa ya kufanya vizuri.
Advertisement
Tazama mahojiano hadi mwisho ili kuona alichosema kuelekea tuzo za Ligi Kuu pamoja na maandalizi ya msimu ujao.