Chama amesema anaamini kurejea kwake pamoja na nyota wengine waliopo wataweza kurudisha furaha ya Wanasimba ambayo wanaitarajia.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Chama amefunguka kuwa familia yake nzima baba mpaka watoto wake ni mashabiki wa Simba na wote wamefurahi.