Chama amesema wachezaji wetu wanajua kucheza mechi zenye presha hivyo haitakuwa changamoto kubwa hata hivyo maandalizi tuliyofanya ni mazuri.
Tumekuwekea video ya mahojiano yote aliyofanya Chama na Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally.