Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: CEO Zubeda afurahishwa na nidhamu ya timu

5 Jan 2025

CEO Zubeda amesema wachezaji na benchi la ufundi limetumiza majukumu yao kwa asilimia 100 huku Menejimeti ikijitahidi kuweka mazingira wezeshi ili kukamilisha mipango ya timu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho CEO Zubeda amefunguka pia kuhusu kuweka rekodi binafsi baada ya ushindi huo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story