Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: CEO Zubeda afunguka kuhusu ujio wa kocha mpya

28 Sep 2025

CEO Zubeda amesema michuano ya Ligi ya Mabingwa ni migumu kwahiyo mchakato wa kuboresha benchi la ufundi unaendelea kwa umakini mkubwa ili kuweza kufikia malengo yetu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho CEO Zubeda ametuma ujumbe kwa mashabiki.

Advertisement
Back to homepage
Share this story