Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: CEO Zubeda afunguka kuhusu historia yake na Simba

8 Jan 2025

Zubeda amesema babu yake alikuwa mchezaji wa Sunderland na baadae baba yake mzazi Mzee Hassan Adam Sakuru naye aliichezea Simba hivyo yeye tangu akiwa mtoto ni shabiki namba moja wa Simba.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho, CEO Zubeda amezungumzia siku alipopigiwa simu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na Rais wa heshima Mohamed Dewji Mo kuja kuchukua nafasi hii.

Advertisement
Back to homepage
Share this story