Kajula ameipongeza Serikali kupitia Mkuu wa Mkoa wa Morogoro pamoja na Jeshi la Polisi kwa kuimarisha ulinzi na hakuna alipata madhara yoyote licha umati mkubwa kujitokeza.
Tazama video hii hadi mwisho mwisho CEO Kajula amewaomba radhi mashabiki walifika Kituo cha Treni ya Mwendokasi (SGR) na kukosa nafasi ya kusafiri.