Simba Sports Club
News

VIDEO: CEO Kajula awaita mashabiki kwa Mkapa Machi 29

12 Mar 2024

Kajula amesema tunakutana na timu bora Afrika na tunahitaji kusonga kutinga nusu fainali kwahiyo tunapaswa kuungana ambapo mashabiki wanapaswa kujitokeza kwa wingi kuipa sapoti timu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho CEO Kajula ametoa maoni yake kuhusu jinsi mchezo utakavyokuwa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story