Kajula amesema kikosi kipo imara na kamili kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Namungo utakaopigwa Uwanja wa Uhuru saa 10 jioni.
Tazama hadi mwisho mahojiano haya, CEO Kajula amewaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanjani.