Kajula amesema tumeingia makubaliano na benki mbalimbali ili kufanikisha jambo hilo ambalo litakuwa la kwanza kufanywa na klabu katika Ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati.
Tazama mahojiano mpaka mwisho ili kufahamu pia kuhusu mchakato wa kupatikana kwa kadi za mashabiki.