Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: CEO azungumzia suala la kumtafuta mzabuni mpya wa jezi

4 Feb 2025

CEO Zubeda amesema mzabuni wa sasa mkataba wake unamalizika baada ya msimu hivyo wametoa taarifa mapema ili kuufanya mchakato wa kumpata mzabuni mpya kuwa huru na haki.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho CEO Zubeda ametaja vigezo vinavyotakiwa kwa mzabuni mpya.

Advertisement
Back to homepage
Share this story