Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Cadena akiri ugumu wa kuchagua kipa wa kuanza, Abel afunguka

6 Sep 2023

Cadena amesema hilo ni jambo zuri kutokana na ubora na ndio lengo la timu yenye kuhitaji mataji.

Mlinda mlango, Hussein Abeli amesema changamoto ya kuwania namba ni kubwa lakini atahahakikisha anapambana ili kumshawishi kocha.

Advertisement

Tazama mahojiano haya hadi mwisho kujua walichoongea.

Back to homepage
Share this story