Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Bocco alikuwa zaidi ya mchezaji

18 Jun 2024

Ahmed amesema haikuwa rahisi kumuaga mchezaji muhimu kwenye kikosi aina ya Bocco lakini haiwezi kuepukika na maisha lazima yaendelea.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia mahusiano ya nahodha Bocco na wachezaji wageni

Advertisement
Back to homepage
Share this story