Simba Sports Club
News

VIDEO: Bocco aelezea maandalizi mchezo dhidi ya Ruvu Shooting

10 May 2023

Bocco amesema morali ya wachezaji haijashuka licha ya kutolewa kwenye michuano ya Azam Sports Federation na lengo lililobaki ni kuhakikisha tunawapa furaha mashabiki kwa kushinda mechi za ligi zilizosalia.

Tazama hadi mwisho mahojiano haya aliyofanya baada ya kumalizika mazoezi ya leo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story