Simba Sports Club
News

VIDEO: Bocco aelezea maandalizi dhidi ya Wydad

21 Apr 2023

Bocco amesema wachezaji wote wapo kwenye hali nzuri tayari kuipigania timu kuhakikisha ushindi inapatikana.

Tazama mahojiano yote mpaka mwisho aliyofanya nahodha Bocco ili ujue morali ya wachezaji ilivyo kambini kuelekea mchezo wa kesho.

Advertisement
Back to homepage
Share this story