Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Benchikha atua na wasaidizi wake

28 Nov 2023

Baada ya kuwasili kocha Benchikha amesema amefurahi kupata nafasi ya kukiongoza kikosi chetu huku lengo lake la kwanza likiwa kuirejesha timu katika hali ya ushindi na kuwapa furaha mashabiki.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho kocha Benchikha amezungumzia pia kuhusu mshikamano baina ya timu na mashabiki.

Advertisement
Back to homepage
Share this story