Benchikha ameyasema hayo wakati akiongoza mazoezi ya jioni katika Uwanja wetu wa Mo Simba Arena ambapo wachezaji wote isipokuwa waliokuwa kwenye majukumu ya timu za Taifa wameshiriki.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Benchikha ameelezea kutofurahi timu yetu ya Tanzania kutolewa mapema kwenye michuano ya AFCON.