Benchikha amesema Al Ahly walipata nafasi moja na wakaitumia kutuadhibu lakini sisi tulipata zaidi ya saba lakini hatukuzitumia, tunaenda kujipanga kwa mechi ya marudiano na hatujakata tamaa.
Tazama video hii hadi mwisho Benchikha amezungumzia mipango ya mechi ya marudiano itakayopigwa jijini Cairo, Aprili 5.