Barker amesema tulikuwa bora kwenye maeneo mengi uwanjani na kila mchezaji alijitoa mpaka mwisho kuisaidia timu kupata ushindi kitu ambacho wanastahili kupata pongezi.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Barker amezungumzia tofauti ya alama tano iliyopo kati yetu na Yanga.