Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Barker 'awapa maua' wachezaji ushindi dhidi ya Dodoma Jiji

12 Apr 2026

Barker amesema wachezaji wetu walikuwa imara kuanzia mwanzo mpaka mwisho kitu ambacho ni chanya kwenye maendeleo ya timu yetu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Barker amezungumzia pia mchezo ujao wa Ligi Kuu dhidi Fountain Gate.

Advertisement
Back to homepage
Share this story