Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Barker 'awafagilia' wachezaji, ushindi dhidi ya Mashujaa

29 Jan 2026

Barker amesema tulimiliki sehemu kubwa ya mchezo na tulikuwa na nafasi ya kupata mabao mengi zaidi kama tungetumia nafasi tulizotengeneza.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Barker amezungumzia pia mchezo unaofuata dhidi ya ES Tunis huku akiwaita mashabiki Jumapili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story