Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Barker afurahishwa na viwango vya wachezaji

12 Feb 2026

Barker amesema tulitawala mchezo kwa asilimia kubwa na tulikuwa bora katika maeneo mengi huku kikosi kikizidi kuoneka kuimarika.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho kocha Barker amezungumzia mchezo wa mwisho wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Stade Malien.

Advertisement
Back to homepage
Share this story