Barker amesema tumeweza kumiliki mchezo katika dakika zote 90 huku akisema aliamua kuwapa wachezaji ambao hawajacheza mara nyingi ili kuwaongeza hali ya kujiamini.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Barker amezungumzia pia mchezo wa Ligi unaofuata dhidi ya Tanzania Prisons.