Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Baraza la Washauri kukutana kabla ya kikao cha Bodi

21 Dec 2023

Jaji Mihayo amesema wameamua kufanya hivyo ili mawazo yao yawe yanajadiliwa kwenye vikao vya Bodi ili kufanyiwa kazi.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Jaji Mihayo amezungumzia jinsi watakavyokuwa wanafanya kazi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story